SAN TZ MEDIA
SAN TZ MEDIA
  • Видео 105
  • Просмотров 1 396 890

Видео

EXCLUSIVE; MJUE DAVIS MWAMNYANGE MKUU wa MAJESHI KAUZU! ASIYERUDI NYUMA,KATIRI, na ANAPENDA VITA
Просмотров 13 тыс.День назад
#cloudsmedia #exclusive #simulizinasauti #efm #history #wasafimedia #dullysantz #santzmedia #millardayo #devismwamnyange#ccm Leo Nimekusogezea Historia na Maisha Ya kweli kuhusu Davis Mwamnyange Mkuu wa Majeshi wa Awamu ya 7 Nchini Tanzania ruclips.net/p/PLkOylok86xJiWX3vRhxnGQKq8qKozt2yJ&si=_skkz0lWZgZfjfT3
EXCLUSIVE: MJUE FREEMAN MBOWE MWENYEKITI na MWANASIASA wa CHADEMA/ELIMU/MKE/WATOTO na KESI ya UGAIDI
Просмотров 11 тыс.14 дней назад
#freemanmbowe #chadema #ccm #free #dullysantz #santzmedia #wasafimedia #manara #cloudsmedia #simulizinasauti #history EMBU KIFUATILIE KISA HIKI KWANZA ALAFU NJOO KWENYE COMMENT TUANDIKIE MAONI YAKO ruclips.net/p/PLkOylok86xJiWX3vRhxnGQKq8qKozt2yJ&si=_skkz0lWZgZfjfT3
EXCLUSIVE: HUYU ndie HAMISI KIGWANGALLA "MWAMBA ALIYEPAMBANIA USHOGA na KUUTAKA URAIS TANZANIA
Просмотров 1,8 тыс.21 день назад
#exclusive #cloudsmedia #efm #simulizinasauti #history #wasafimedia #millardayo #dullysantz #santzmedia FUATILIA MAKALA HII MWANZO MWISHO USIKUBALI KUDANGANYWA
EXCLUSIVE: Hawa JAMAA ni HATARI!! HAWAOGOPI /IJUE LIST ya MAKOMANDO Walioongoza JESHI na NCHI AFRICA
Просмотров 6 тыс.21 день назад
#exclusive #cloudsmedia #efm #simulizinasauti #history #wasafimedia #dullysantz #millardayo #santzmedia Waujue WAKUU wa lioibeba nchi Tokea 1964
EXCLUSIVE: MJUE RIDHIWANI KIKWETE -MTOTO wa RAIS ALIYEPEWA KASHFA ya MADAWA CHINA na KUMILIKI SHELL
Просмотров 12 тыс.28 дней назад
#exclusive #cloudsmedia #efm #simulizinasauti #history #wasafimedia #dullysantz #millardayo #santzmedia USIDANGANYWE TENA FUATILIA MAISHA YA RIDHIWANI KIKWETE A-Z ruclips.net/p/PLkOylok86xJiWX3vRhxnGQKq8qKozt2yJ&si=_skkz0lWZgZfjfT3
EXCLUSIVE: HISTORIA ya JACOB MKUNDA MKUU wa MAJESHI na KOMANDO HATARI ALIYECHAFUKA VYEO BEGANI
Просмотров 51 тыс.Месяц назад
#cloudsmedia #efm #exclusive #history #simulizinasauti #wasafimedia #dullysantz #millardayo #santzmedia #jacobmkunda#mkunda VIJUE VYEO VYA JACOB MKUNDA NA HISTORIA YAKE KUANZIA MAISHA YAKE BINAFSI ....... ruclips.net/p/PLkOylok86xJiWX3vRhxnGQKq8qKozt2yJ&si=_skkz0lWZgZfjfT3
EXCLUSIVE: MJUE "ABDURAHMAN KINANA" MAKAMU MWENYEKITI na KIGAGULA wa CCM/MKE/WATOTO/UMRI
Просмотров 9 тыс.Месяц назад
#cloudsmedia #efm #exclusive #history #dullysantz #wasafimedia #simulizinasauti #millardayo #santzmedia #kinana#ccm #simulizi HUU NDIO WASIFU WA ABDURAHMAN KINANA MWANZO MWISHO
EXCLUSIVE: HISTORIA YA "SALAMA JABIR" KUANZIA PLANET BONGO & BONGO STAR SEARCH/ELIMU/MUME na WATOTO
Просмотров 1,2 тыс.Месяц назад
#cloudsmedia #efm #exclusive #history #alhamdulillah #simulizinasauti #wasafimedia #millardayo #dullysantz #santzmedia #salamajabir Karibu kwenye chaneli yetu ambapo tunakuletea habari za hivi punde, matukio yanayosisimua, na simulizi zilizojaa mafunzo na burudani. Tunajitahidi kukuunganisha na kile kinachotokea kote nchini na zaidi. Kwa habari zaidi, maswali au maoni, tuwasiliane kupitia 06831...
EXCLUSIVE: MJUE "MIZENGO PINDA" WAZIRI MKUU MSTAAFU/MAISHA YAKE/NJAMA za SIASA/WIZI FEDHA ZA ESCROW
Просмотров 3,3 тыс.Месяц назад
#mizengopinda#wazirimkuu #cloudsmedia #exclusive #history #alhamdulillah #efm #simulizinasauti #wasafimedia #dullysantz #millardayo #santzmedia MAISHA YA MIZENGO PINDA KUANZIA SHAMBANI MPAKA KUINGIA IKULU
EXCLUSIVE: MJUE MANGE KIMAMBI | MWANAHARAKATI MTUKUTU/KwaNINI HAKAMATWI na POLISI/MAISHA YAKE
Просмотров 16 тыс.Месяц назад
#history #alhamdulillah #cloudsmedia #efm #exclusive #simulizinasauti #wasafimedia #dullysantz #millardayo #santzmedia #mangekimambi #exclusive #cloudsmedia #mangekimambi_ KWANINI MANGE KIMAMBI HAKAMATWI NA JESHI LA POLISI TANZANIA MPAKA LEO HII
EXCLUSIVE: MAISHA YA ZITTO KABWE/ELIMU/NDOA/VITA ya SIASA/KUFUNGWA/KUMNG'OA WAZIRI/UGOMVI na MAKONDA
Просмотров 28 тыс.2 месяца назад
#history #alhamdulillah #cloudsmedia #efm #exclusive #simulizinasauti #wasafimedia #dullysantz #millardayo #santzmedia #zittokabwe#ACTWAZALENDO MASWALI YAKO YOTE TEYALI TUMESHAYAJIBU KWENYE MAKALA HII HAPA UTAFAHAMU MAMBO YOTE YANAYOMUHUSU ZITTO KABWE
EXCLUSIVE: MJUE PHILIP MPANGO "MAKAMU wa RAIS" MAISHA YAKE/ELIMU na SIASA/KUTEMWA BUNGENI/MKE &WAZAZ
Просмотров 8 тыс.2 месяца назад
#history #alhamdulillah #cloudsmedia #efm #exclusive #simulizinasauti #wasafimedia #dullysantz #millardayo
EXCLUSIVE:MJUE SIMBA wa VITA "NAPE NNAUYE" MAISHA YAKE/KUTUMBULIWA/MKOSI wa SIASA/VITA na MAKONDA
Просмотров 9 тыс.2 месяца назад
#history #alhamdulillah #cloudsmedia #efm #exclusive #simulizinasauti #wasafimedia #dullysantz #millardayo #santzmedia #napennauye#ccm MWANZO, MWISHO TUMEKUANDALIA MAKALA INAYOHUSU MAISHA YA NAPE NNAUYE
EXCLUSIVE: HISTORIA ya CDF MABEYO {KOMANDO} HATARI ALIYEACHA UPADRI na KUWA MKUU wa MAJESHI {JWTZ}
Просмотров 121 тыс.2 месяца назад
#history #alhamdulillah #cloudsmedia #efm #exclusive #simulizinasauti #wasafimedia #dullysantz #millardayo #santzmedia
HUYU NDIYE JANUARY MAKAMBA MWAMBA MWENYE NDOTO YA URAIS/KUKOSWA NYAMA na IDDI AMINI/ HUU WASIFU WAKE
Просмотров 67 тыс.2 месяца назад
HUYU NDIYE JANUARY MAKAMBA MWAMBA MWENYE NDOTO YA URAIS/KUKOSWA NYAMA na IDDI AMINI/ HUU WASIFU WAKE
EXCLUSIVE: TAZAMA WASIFU wa JAJI WARIOBA KABLA HAJAFA/KUNYWESHWA SUMU/SHULE/WAZAZI/MKE NA CHEO
Просмотров 25 тыс.3 месяца назад
EXCLUSIVE: TAZAMA WASIFU wa JAJI WARIOBA KABLA HAJAFA/KUNYWESHWA SUMU/SHULE/WAZAZI/MKE NA CHEO
EXCLUSIVE: WASIFU WA Dkt; DANIEL CHONGOLO RC Mpya SONGWE/SIKUSOMA/SAMIA NILIMROGA/UTATA SEREKALINI
Просмотров 1,9 тыс.3 месяца назад
EXCLUSIVE: WASIFU WA Dkt; DANIEL CHONGOLO RC Mpya SONGWE/SIKUSOMA/SAMIA NILIMROGA/UTATA SEREKALINI
EXCLUSIVE: MJUE MWIGULU NCHEMBA"WAZIRI wa FEDHA" MAISHA YAKE na UNYONYAJI SEREKARINI" SIIPENDI TZ
Просмотров 13 тыс.3 месяца назад
EXCLUSIVE: MJUE MWIGULU NCHEMBA"WAZIRI wa FEDHA" MAISHA YAKE na UNYONYAJI SEREKARINI" SIIPENDI TZ
EXCLUSIVE: ANNA MAKINDA Spika MDOGO "KIUMRI" KUINGIA BUNGENI na HUU NDIO WASIFU WAKE/MUME/WATOTO
Просмотров 7 тыс.3 месяца назад
EXCLUSIVE: ANNA MAKINDA Spika MDOGO "KIUMRI" KUINGIA BUNGENI na HUU NDIO WASIFU WAKE/MUME/WATOTO
EXCLUSIVE: KIFO CHA LOWASA ,KIMELETA TAHARUKI KUMBE HAJAFA KWA UGONJWA
Просмотров 1,6 тыс.4 месяца назад
EXCLUSIVE: KIFO CHA LOWASA ,KIMELETA TAHARUKI KUMBE HAJAFA KWA UGONJWA
EXCLUSIVE: HUYU NDIE "BASHIRU ALLY" MWANASIASA MTATA/ANAYETUMIWA KAMA KAFARA CCM/YUKO WAPI SASA
Просмотров 4,3 тыс.4 месяца назад
EXCLUSIVE: HUYU NDIE "BASHIRU ALLY" MWANASIASA MTATA/ANAYETUMIWA KAMA KAFARA CCM/YUKO WAPI SASA
BILIONEA GIRDHAR: MWANZILISHI wa ESTIM "ALIYEJENGA HOTEL VERDE,PSPF TOWER,UHURU HEIGHT, VIJANA TOWER
Просмотров 2,7 тыс.4 месяца назад
BILIONEA GIRDHAR: MWANZILISHI wa ESTIM "ALIYEJENGA HOTEL VERDE,PSPF TOWER,UHURU HEIGHT, VIJANA TOWER
EXCLUSIVE: WASIFU WA ALLI HASSAN MWINYI "MAISHA YAPO HATARINI HOSPITALI "KUFA KUPONA DUA ZETU"
Просмотров 58 тыс.4 месяца назад
EXCLUSIVE: WASIFU WA ALLI HASSAN MWINYI "MAISHA YAPO HATARINI HOSPITALI "KUFA KUPONA DUA ZETU"
EXCLUSIVE: MAISHA YA LENGAI OLE SABAYA GEREZANI NA NYUMBANI KWAKE/TISHIO/FAHAMU KUHUSU HISTORIA YAKE
Просмотров 3 тыс.4 месяца назад
EXCLUSIVE: MAISHA YA LENGAI OLE SABAYA GEREZANI NA NYUMBANI KWAKE/TISHIO/FAHAMU KUHUSU HISTORIA YAKE
EXCLUSIVE: HUYU ndiye ELIUD SAMWEL Mchekeshaji MWENYE UWEZO Mkubwa | HAYA ndio Maisha Yake A-Z
Просмотров 6135 месяцев назад
EXCLUSIVE: HUYU ndiye ELIUD SAMWEL Mchekeshaji MWENYE UWEZO Mkubwa | HAYA ndio Maisha Yake A-Z
EXCLUSIVE: FAHAMU LIFESTYLE YA WAWINDAJI WAWILI WALIOUWA MAMBA MKUBWA TANZANIA
Просмотров 4715 месяцев назад
EXCLUSIVE: FAHAMU LIFESTYLE YA WAWINDAJI WAWILI WALIOUWA MAMBA MKUBWA TANZANIA
EXCLUSIVE: FAHAMU MAISHA YA KUSISIMUA KUHUSU AGREY MWANRI MKUU WA MKOA MSTAAFU TABORA NA MISEMO YAKE
Просмотров 11 тыс.5 месяцев назад
EXCLUSIVE: FAHAMU MAISHA YA KUSISIMUA KUHUSU AGREY MWANRI MKUU WA MKOA MSTAAFU TABORA NA MISEMO YAKE
EXCLUSIVE: HISTORIA YA KUSISIMUA YA HUMPHREY POLEPOLE KUTOKA KUWA FUNDI MPAKA KUWA BALOZI QUBA
Просмотров 11 тыс.5 месяцев назад
EXCLUSIVE: HISTORIA YA KUSISIMUA YA HUMPHREY POLEPOLE KUTOKA KUWA FUNDI MPAKA KUWA BALOZI QUBA
EXCLUSIVE: MAISHA YA TUNDU LISU HADI KUPIGWA RISASI"SIRI IMEFICHUKA"WALIOMPIGA WATAJWA
Просмотров 2,3 тыс.5 месяцев назад
EXCLUSIVE: MAISHA YA TUNDU LISU HADI KUPIGWA RISASI"SIRI IMEFICHUKA"WALIOMPIGA WATAJWA

Комментарии

  • @Stellastella-yi5vu
    @Stellastella-yi5vu 14 минут назад

    Historia gani iyo unarukaruka tu hueleweki jifunze kutamka vzr then uje tena

  • @sk-wj9or
    @sk-wj9or Час назад

    Jamani LONDON SIO NCHI NI MJI. "ALIKUA AKITANGAZIA BBC NCHINI LONDON " HIVI KUJIFINZA KABLA YA KUTANGAZA KUNAMAKOSA GANI???

  • @usermt619
    @usermt619 3 часа назад

    Jifunze kutamka majina. Wa kwanza ni Sarakikya na siyo kama ulivyomtamka. Wa tano ni Mboma na siyo Mbona ulivyotamka. Na wa saba ni Davis na siyo David. Na muhimu zaidi hakuna aliyeongoza nchi ya Tanzania kama unavyopotosha.

  • @abdulyibrahim2125
    @abdulyibrahim2125 14 часов назад

    Mjomba jifunze kiswahili vzur kwenye matamshi na na tengeneza story vzur usikurupuke tu.

  • @isolatedman-ou7ok
    @isolatedman-ou7ok 15 часов назад

    Km umeskia Randani nasiyo landon 😂 umeisoma hiyooo

  • @dlumala
    @dlumala 16 часов назад

    Rwanda?

  • @mungholomakalanga8958
    @mungholomakalanga8958 16 часов назад

    MUNGU mwema akutunze mwanangu

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz 18 часов назад

    Uyu mtangazaji inabidi azijue RA an LA anakorofisha zana hata Zuhura kaiira Zuhula na London Randan

  • @DavidDavid-wf5ug
    @DavidDavid-wf5ug 19 часов назад

    Mbona simulizi haijatoa family wise km ana mume au ni single

    • @Santzmedia
      @Santzmedia 19 часов назад

      Hajaolewa inshot hajataka aekewe hadharani Inshu kama hizo

    • @pulikisia7963
      @pulikisia7963 13 часов назад

      Aliolewa mwaka Jana buana.

  • @kassimmwawado7002
    @kassimmwawado7002 21 час назад

    Matamshi yako ni mabovu na yameharibu story nzima 7:24

  • @mrliverpoolynwa7641
    @mrliverpoolynwa7641 День назад

    Nampenda sana zuhura yunus❤❤❤❤❤

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 День назад

    Mbona unaziba uso wa Sugu na Lisu ? Wewe vipi kwani kuwa chadema ni zambi? Kama huyo unusi ni mtangazaji basi anapashwa kuongea au kuhoji mtu yeyote awe wa CAFU , CHADEMA AU CCM MAANA HIYO NI KAZI YAKE.

  • @hassanhajj6804
    @hassanhajj6804 День назад

    😮😮😮 Nchini London 😮😮

  • @yohanaezekiel5422
    @yohanaezekiel5422 День назад

    Jamaa mwongo sana. Haitwi Zuhula , anaitwa Zuhura! Hakuna nchi inayoitwa RANDANI. Umetudanganya bhana. Unakeraa

  • @BishiraMunga-ey6jx
    @BishiraMunga-ey6jx День назад

    Hata huo mwaka si kweli

  • @BishiraMunga-ey6jx
    @BishiraMunga-ey6jx День назад

    Mmepotosha,Babayake ni mtu wa bara alikuwa canal jesting alifariki,lakini sekondari tumesomanae WERUWERU HIGH SCHOOL,Ilikuwa ikiongozwa na mkuu wa shule MARIA CAM,nakumbuka alikuwa mbeleyangu mimi nilikuwa kidato cha nyumayake.

  • @abdallahalbakri2561
    @abdallahalbakri2561 День назад

    Masha Allah. Sijui kama ameolewa .

  • @msafirimaulidi5054
    @msafirimaulidi5054 День назад

    Ukiweka jiwe na jmakamba nachagua jiwe

  • @abakibibi9917
    @abakibibi9917 2 дня назад

    HISTORIA HIYO INAHITAJI KUTUNGIWA KITABU NI MUHIMU SANA

    • @Santzmedia
      @Santzmedia 2 дня назад

      Itabidi 🫵 tukutafute utuandikie kitabu😆

    • @abakibibi9917
      @abakibibi9917 День назад

      HIZO NI HASIRA SASA​@@Santzmedia

  • @msarama5406
    @msarama5406 2 дня назад

    Ni I.U.I.U SIO A.U.A.U JOMBAA

  • @msarama5406
    @msarama5406 2 дня назад

    1969 ni uongo bana

  • @SemeniErnest
    @SemeniErnest 2 дня назад

    Kwani Jaji warioba amefariki?

  • @kimsamir965
    @kimsamir965 2 дня назад

    AMEFANANA NA MAMA SAMIA

  • @user-oc3jf3ts5i
    @user-oc3jf3ts5i 2 дня назад

    Hujui chochote! Gavana Bank kuu baada ya Edwin Mtei ni Charles Nyirabu! hitoria ya uongo na mapungufu mengi!

  • @user-oc3jf3ts5i
    @user-oc3jf3ts5i 2 дня назад

    Muongo wewe! BBC walikuwapo wanawake wengi tu wakitangaza! Zuhura Yunus siyo wa kwanza! hiyo 2008 tayari akina Jamhuri Mwavyombo, Aisha Yahya na wengine wengi walikuwapo kabla ya Zuhura Yunus!

  • @JacksonMtese-gn4so
    @JacksonMtese-gn4so 2 дня назад

    Rekebisha matamshi ya kiswahili

  • @mahatakitengewamuninga1260
    @mahatakitengewamuninga1260 2 дня назад

    JITAHIDI SANA KUFUTILIA HISTORIA KABLA YA KUILETA KWETU NAONA UNAPAPASA TUU

  • @Muhunjikatemana-fj8dd
    @Muhunjikatemana-fj8dd 2 дня назад

    UNASAUT NZUR KK ILA JITAHD KUTOFAUTISHA KAT YA" R" NA "L" HILO TU KK

    • @Santzmedia
      @Santzmedia 2 дня назад

      Shukrani 🙏 Tunaahidi kujirekebisha na usiache kuzidi kutufuatilia mambo mazuri yanakuja🤩

  • @tulipotokazamani
    @tulipotokazamani 2 дня назад

    Nchini London?????

  • @allymahiyo2464
    @allymahiyo2464 3 дня назад

    Mwamba flani ivi kutoka chalinze.

  • @omarkhamis5913
    @omarkhamis5913 3 дня назад

    Mm apo kuusu mwaka wa kuzaliwa bado sijaelewa ni nwaka gani

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 3 дня назад

    Bila kuwa na teknelojia ya kwetu ni ngumu kuwa na jeshi bora,kila kitu tunawategemea wazungu iweje sasa mjisifu?kila kitu mpaka wawatengenezee wazungu,mpaka magwanda,mabuti,mabomu,bunduki,nk,nyie mpo mpo tu,wazungu wajanja mno,wanakuuzia vifaa ambavyo wao wameviacha na kuanza kutumia vya kisasa zaidi,yaani aibu

  • @kabiligamukhtar9851
    @kabiligamukhtar9851 3 дня назад

    Hujui kutoa historia ya viongozi

  • @msowamhokole7714
    @msowamhokole7714 3 дня назад

    Kumbe mkubwa ivyo daaa mzee

  • @Santzmedia
    @Santzmedia 3 дня назад

    SIMULIZI ZETU HUWA ZINATOKA KILA JUMAMOSI YA MWISHO WA WIKI HAKIKISHA UMEBONYEZA NENO LA SUBSCRIBE KISHA UMEGUSA ALAMA YA KENGELE ILI USIPITWE NA SIMULIZI YEYOTE KWETU

    • @sk-wj9or
      @sk-wj9or Час назад

      Unawezaje kujiita mtaalam wa simulizi wakati hata lugha yako sio bora?? Alikua anakaa mji kani na kaka yake!!!!😂 aibu tupu. Shat up

  • @VicentSamwel-hk1qx
    @VicentSamwel-hk1qx 3 дня назад

    Anawatoto ameolewa

    • @Santzmedia
      @Santzmedia 3 дня назад

      Ajaolewa na Hana watoto

    • @edsonnelson4464
      @edsonnelson4464 3 дня назад

      @@Santzmedia ameolewa labda watoto ndo hajabahatika

  • @khalidibrahim4579
    @khalidibrahim4579 3 дня назад

    Mobona wengi bara inawashinda kuitamka R HUSema L leo south Africa na west Africa pia ulaya wanasoma kiswahili Hamtofa kupelekwa walimu

  • @aminamollel6639
    @aminamollel6639 3 дня назад

    Jifunze tofauti ya R na L pamoja utamkwaji wa maneno kwa ufasaha.

  • @user-tg7vq3ty8p
    @user-tg7vq3ty8p 3 дня назад

    Binadamu yeyote asili yake ni baba na mama.

  • @stanslausshayo7104
    @stanslausshayo7104 4 дня назад

    wewe ni ccm

  • @KassimseifShaban
    @KassimseifShaban 4 дня назад

    Ubarikiwe mtumishi

  • @georgefesto8455
    @georgefesto8455 4 дня назад

    Kilicho mtajirisha sana ni biashara haramu ya pembe za ndovu na madawa ya kulevya kama mirungi na bangi.

  • @user-zv2ng6ov2k
    @user-zv2ng6ov2k 5 дней назад

    Kanisarake rikowapi ?

  • @ashabushiri4610
    @ashabushiri4610 5 дней назад

    Ongera

  • @mfalmekaitaba2425
    @mfalmekaitaba2425 6 дней назад

    🎉🎉🎉🎉🎉 na msichokijuwa huyu ndo aliyenifanya niipende CHADEMA mwaka 2005 na hadi leo mm ni Kamanda halisi wa CHADEMA na siwezi badirika.

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 6 дней назад

    Mjinga ww 😂😂😂😂danganya wajinga ...sach... Google...utaiona TZ niyangapiii Africa 36

    • @Santzmedia
      @Santzmedia 6 дней назад

      Hapo haujaskia imetajwa Africa " Kama utakuwa Makini natumai UmeNote vyema summary "Nimezungumzia Africa mashariki not Africa Be careful

  • @DavidMuamba-ng1fo
    @DavidMuamba-ng1fo 6 дней назад

    Weye,ninani